Monday, May 14, 2012

wanafunzi wa chuo kikuu SAUT MWANZA wa mahusiano waandaa kongamano la siku ya jamii day
akiongea na waandishi msemaji na mratibu wa kongamano FEISAL " aaah kongamano hili litausisha wanafunzi wote wanaosoma shahada ya mahusiano na masoko kwa ngazi ya miaka yotee na vilevile kwa kuwa wao ni watu wa mahusiano so wanawakaribisha ndugu , marafiki coples na watanzania woote wanaoweza kujumuika na wenzetu hawa"


aidha wakati akizungumza hayo aliongeza" ..........kutakuwa na usafiri wa bure, free ticket ya club lips isamilo lodge, swimming, best couples, na vitu vingi sana, kwasasa sitawataja wadhamini wetu kwa kuwa bado mazungumzo yanaendelea "


aliongozana na mratibu msaidizi MR MELLITHA na kuwsihi watu wengi wajitoleze na kutakuwa na burudani kedekede na watu wataendelea kufahamishwa kuhusu ratiba, na chochote kitakachojiri wakati wowote karibuni sana

No comments:

Post a Comment